luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji,
Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie mashabiki wa Yanga kuungia kiwanjani ktk mechi za hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika hii ni muhimu sana maana hawa wanaojiita wananchi eti hawataki mtu yeyote avae nguo yenye rangi nyekundu basi wapigwe Ban ili washike adabu.
Wapuuzi sanaa hawa mashabiki walio mpiga mwenzao hadi kudaiwa kupatwa na umauti