luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kwa maslai ya soka. Mwezi ujao wamsimamishe tuMtateseka sana awamu hii ya 6
Yaan afungiwe asitamke ata neno mpira wa miguu,Haji ata uki msimamisha bado atafanyakazi kama mwandishi wa habari. Ni kama Shafii Dauda anaendelea na kazi zake licha ya kufungiwa.
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.Kufuatia mfilulizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji...
Sema kwa maslahi ya makoloKwa maslai ya soka. Mwezi ujao wamsimamishe tu
Uko kwenye tasnia ya habari akizingua pia watampiga pini keshawatukana na kuwafokea sana akiwa Simba.Haji ata uki msimamisha bado atafanyakazi kama mwandishi wa habari. Ni kama Shafii Dauda anaendelea na kazi zake licha ya kufungiwa.
Punguza mihemko wewe na hayo mawazo yako ya kichawi. Niambie hapa, wewe kama wewe utapata faida gani iwapo hayo mahitaji yako ya kichawi yatatekelezwa?Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji,
Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie mashabiki wa Yanga kuungia kiwanjani ktk mechi za hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika hii ni muhimu sana maana hawa wanaojiita wananchi eti hawataki mtu yeyote avae nguo yenye rangi nyekundu basi wapigwe Ban ili washike adabu.
Wapuuzi sanaa hawa mashabiki walio mpiga mwenzao hadi kudaiwa kupatwa na umauti
Kwa mawazo ya aina hii, unahitaji tu kupewa pole. Na siyo kutukanwa.Yaan afungiwe asitamke ata neno mpira wa miguu,
Mwenyezi Mungu alituagiza kuwashushia kipigo cha mbwa mwizi walozi au wachawi na ikibidi tuwa uwe kabisa, poleni sana ndugu wa yule dogo, janahanam bado inamsubiri!Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji,
Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie mashabiki wa Yanga kuungia kiwanjani ktk mechi za hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika hii ni muhimu sana maana hawa wanaojiita wananchi eti hawataki mtu yeyote avae nguo yenye rangi nyekundu basi wapigwe Ban ili washike adabu.
Wapuuzi sanaa hawa mashabiki walio mpiga mwenzao hadi kudaiwa kupatwa na umauti
Hapa sasa ndo naanza kuona ubovu wa akili yako. Hiyo adhabu ni kwa mujibu wa kifungu gani? Haji ana matatizo yake lakini comments za chuki hazifai.Yaan afungiwe asitamke ata neno mpira wa miguu,
Hahaha, we mumeo hakutombiii vizuri weweYaan afungiwe asitamke ata neno mpira wa miguu,
Kwan mtu akiadhibiwa ww huwa una kerekwa ? Wakosaji siku zote lazima waadhibiwe tuHapa sasa ndo naanza kuona ubovu wa akili yako. Hiyo adhabu ni kwa mujibu wa kifungu gani? Haji ana matatizo yake lakini comments za chuki hazifai.
Ndio maana lile kombe lilipofika dar likapachuka mishikio[emoji23]Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji,
Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie mashabiki wa Yanga kuungia kiwanjani ktk mechi za hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika hii ni muhimu sana maana hawa wanaojiita wananchi eti hawataki mtu yeyote avae nguo yenye rangi nyekundu basi wapigwe Ban ili washike adabu.
Wapuuzi sanaa hawa mashabiki walio mpiga mwenzao hadi kudaiwa kupatwa na umauti
Mkuu nia yao ni wali haribu ili waambiwe wabaki nalo πππ sasa yametimiaNdio maana lile kombe lilipofika dar likapachuka mishikio[emoji23]
afungiwe hata kuvaa jezi yoyote.Yaan afungiwe asitamke ata neno mpira wa miguu,