Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam, tarehe 9/12 tumesherehekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika ni miaka 58 tangu tupate Uhuru kutoka kwa Wazungu.
Hapa nchi yetu ilikuwa ni ya chama kimoja na uchaguzi ulikuepo ila ni wa chama kimoja hii ina maana nchi yetu ni ya kidemokrasia tangu uhuru mpaka leo.
Kwa hiyo ni dhambi kusema nchi yetu haina democrasia wakati wote tunaona hii nchi ni ya kidemocrasia.
Mwaka 1992 nchi yetu iliingia katika mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa kufanya marekebisho katika katiba ya chama kimoja ya mwaka 1977 ili kuruhusu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa ambapo CCM walishinda kupitia Mzee Mkapa.
Kuanzia hapa Tanzania imekua nchi ya vyama vingi ili nchi hii inaongozwa na katiba ya chama kimoja ambacho ni CCM.
Tukumbuke katiba hii kabla haijawa katiba ya Jamhuri ya Muungwano wa Tanzania ilikuwa ikitumiwa na tanu ambae ni mama mzazi wa CCM kwa usahihi kabisa nathibitisha katiba hii ya sasa 1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho kadha 2002 nakuendelea ni katiba ya CCM na sio katiba ya vyama vingi vya siasa.
Hitimisho: Tangu mwaka 1992 kumekuwepo manung'uniko kudai tume huru ya uchaguzi na katiba ya wananchi.
Serikali sikivu ya CCM iliunda tume mbalimbali kwa kodi za wanyonge kukusanya maoni ya wanyonge kuhusu katiba ya wanyonge.
Kuna tume mbili ile ya Jaji Nyalali na ile ya Mzee Warioba, tume hizi mbili zilipelekea kupatika rasimu ya katiba ya wanyonge ambayo CCM wameifungia kwenye dustibini makusudi kabisa.
Uchaguzi 2020
Kuelekea uchaguzi mkuu natoa rai kwa CCM na kuwaombea kwaungu muwapatie Watanganyika wanyonge katiba yao ambayo walitoa maoni yao ili katika uchaguzi kuwe na mizani zawa wananchi wachague viongozi na
waiwajibishe serikali sio leo serikali inawawajibisha wananchi.
Hivyo kwa niaba wanyonge nasimama kuiomba serikali sikivu ya wanyonge ya awamu ya tano kuwapatia wanyonge katiba ya wanyonge ya Mzee Warioba.
Ova