Kwa matajiri na wafanyabiashara wakubwa na wadogo

Kwa matajiri na wafanyabiashara wakubwa na wadogo

Shazili mnali

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2023
Posts
362
Reaction score
569
Karibu mkoa wa Lindi kata ya Yangamara kitongoji cha Kilidu. Wakati tupo mbioni kuelekea mavuno ya ufuta tunawakaribisha matajiri na wafanyabiashara kwa nia ya ununuzi wa ufuta.

Fuata utaratibu wa Serikali ulioweka katika ununuzi huo ili kuepuka usumbufu. Moja ya biashara ambazo zinalipa pamoja na hii uaminifu asilimia 100 pia unaweza kufika eneo husika.
 
Bei ya ufuta kwa chomachoma ni sh ngapi now?

Mnada wa kwanza unaanza lini?

Vipi mambo ya kuweka vumbi/uchafu?

Mtu akitaka ufuta uliosafishwa 99%, Je anapata?
 
Back
Top Bottom