Mkuu nina kluger ambayo nimeimiliki kwa miezi michache, nina maswali yafuatayo:
(i) Imeandikwa huko nyuma 3.0 FOUR, ina axles 2, je hiyo ina maana ni four wheel drive muda wote?, haina mahali pa kuingizia four wheel drive, japo kwenye utelezi huwa linapita tu bila shida wakati wengine wanapita kwa shida...
Unatumia engine mountings genuine?Styvo254 Gari yangu RAV4 - kill time nikisimama hasa kwenye folen inatetemeka bodi lote nikitembea inatulia, nikiwasha AC inatetemeka zaidi, nikiweka parking inapunguza mtetemo. shida inaweza kuwa nini? naweza pata mtaaalamu? maana nishaonana na mafundi wengi lakini haiponi.
mkuu unaposema mpya ni za dukani au used? nami zilikata mbili nikanunua mpya dukani kufunga gari ilikuwa inatetema na body nikatoa nikatafuta used za Japan ikatulia.
Kiongozi...Nina Toyota Voltz WD with automatic transmission, ilikuwa na leakage kwenye mfuniko wa Engine Kwa juu. Fundi ameziba leakage. Baada ya kuziba leakage ameenda kusafisha Kwa kutumia pressure water...From that gari ukiwasha inawasha taa ya check engine...Pia muda mwingine inazima kabisa ikiwa kwenye gia na taa ya check Engine inawaka Msaada Kiongozi. Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu styvo nauliza hivi plagi zikichoka zinaweza kusababisha matokeo gani ktk gari?
Sent using Jamii Forums mobile app
shukran na vipi kuhusu upotevu wa nguvu kiasi.Mis-fire, hunting na unywaji zaidi wa mafuta.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Ndio kiongozi.Unatumia engine mountings genuine?
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Kila kitu kishakaguliwa na hakuna shida. Ila kwenye kuendesha ndio tatizo linaonekana.Basi inabidi engine ikaguliwe kama ndio yenye vibrations au ni body ndio ina udhaifu - labda baada ya ajali au bodywork hivi.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
duh ndugu yangu sidhani kama kutakuwa kuna tatizo hapo si unajua kwanza kama ukiwasha AC unaongeza load kwenye engine so ni lazima matumizi ya mafuta yaongezeke na kama ni gari ya biashara maana yake utakuwa umepakiza abira labda wawili au watatu pamoja na AC ukizingatia hiyo ni passo kana engine ndogo sana bila shaka itakuwa na mzigo mkubwa inaweza kupelekea consumption ya namna hiyo!!nina passo cc 990, nikiwasha ac kinakula 10km/l , nisipowasha ni 15km/l , nahisi inakula mafuta , je hii ni kawaida kwa garibya cc hizo , maana naitumia kibiashara sasa inaleta faida ndogo
Ndugu Styvo254 Hongera kwa Elimu unayotupatia....
Asante sana Kwa Ufafanuzi wako kidogo na Je vp Kuhusiana na hio injini yake ni CC4300 ambayo ni VVT-IVipi kaka
Toyota Crown ni muundo wa gari la daraja la juu yaani la kifahari. Ni muundo unaolenga soko la magari kama Mercedes E class na BMW 5 series. Engine zake ni za lita zisizopungua mbili unusu au tatu, kutegemea na toleo.
Kama magari mengine ya kisasa, gari hili udai matunzo kw mda maalum, ufundi wa uhakika, spare parts zinazofaa na matumizi ya adabu. Gearbox yake ni ya kuaminika; hakikisha unatumia mafuta ya CVT na sio ATF za kawaida na itakupatia service murua.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
MKUU Nina passo inagonga sana taili za mbele kwenye rough road nimebadirisha ball joint na shorkup wapi tatizo linaendelea utakuwa tatizo ni nini?