Mama weee! Jamani wengi are mathematically challenged. Remember ones, tens,hundreds,thousands etc. ? Number mfano 165 maana yake
5 ones
6 tens
1 hundreds
Hivo 01 means 1 ones and 0 tens (assuming decimal math)
kijana hesabu umejifunzia wapi? Kwa nikiandika 07 badala ya 7 kuna tofauti? Sasa wewe 7 ni sawa na 70? Rudi darasani bro!!
aya kwa kifupi lakin sitatoa jibu ni ivi iyo inaitwa imperfct formulae ambayo inaitaji extraneous factor to make it perfect na pia iyo formula ina range 2 tofauti ambazo zinakua valid ukienda direct utapata jibu lakn itakuja kua invalid badae so u catch me thnk more...
Haiwezi kuwa sahihi kwa single digit because the multiplier(10101) it contains 0 and 1 and it has 5 digits so the answer will have 5 digits and not 6 digits so the formula it's not applicable for 0<X<10(while X is an integer)
who said so????
Kuna Wachangiaji hapa wametumia 01 wakati swali ni kwa single digit wao wana assume 1=01(ambayo ni sahihi kwa uthamani) lakini wanasahau kua 1 has one digit and 01 has two digits, that's where the wrong comes,
it doesn't require a PhD in Mathematics to know that 1≠01(interm of Digits)
yeah dats right but the formula still applicable in 1 digits mkuu so go for it
1 it has one digit
01 it have two digit
so the formula is applicable with 01(a two digit Number) and it's not applicable with 1(a single digit Number)
That's why am saying the formula isn't applicable in a single digit Numbers(Eg. 1,2,3 ,9) but it's applicable to Numbers Having only Two digits(Eg. 01,02,03 ,99) and it's not applicable to Numbers having less than or more than two digits.
si kila formula ni independent zingine ni dependent so note from me dic formula is aplicable to all real number mkuu
nikiona vitu kama hivi namkumbuka rafiki yangu Babuu niliyesoma nae O-Level.jamaa alikuwa mkali sana wa number....kwa sasa yupo Canada.let say you have a formula
10101 x (X)
note:jibu linatakiwa liwe 6 figure
ambapo namba mbili zitakua zinajirudiarudia swali ni je formula hii ni sahihi if X ni single digit?(reasoning considered)