Kwa matokea haya, mwanangu akasome kozi gani atakayopata ajira?

Kwa matokea haya, mwanangu akasome kozi gani atakayopata ajira?

Tariq gabana

Member
Joined
Jan 25, 2024
Posts
6
Reaction score
7
Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri?

Matokeo yake yako hivi:
  • Math: F
  • History: D
  • Civics: D
  • Kiswahili: C
  • English: C
  • Bio: D
  • Geography
Eti, akasomee nini apate ajira?
 
Kwa kuwa ana "A" Geography hapo, akasome HGL.
 
Kozi zenye ajira angalau utazipata VETA, huku kwingine kupata ajira ni connection inahitajika sana.
 
Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri?

Matokeo yake yako hivi:
  • Math: F
  • History: D
  • Civics: D
  • Kiswahili: C
  • English: C
  • Bio: D
  • Geography
Eti, akasomee nini apate ajira?
Mwanao ni kichwa cha panzi!
 
Back
Top Bottom