Kuna ndugu yangu alihitimu elimu ya sekondari mwaka 2008 na akapata division 4 ya point 26 ambapo alibahatika kupata credit 4,akafanya mtihani wa form six mwaka 2012 kwa bahati mbaya akapata division 4 ya point 19 akiwa na principle pass 1 tu na the rest ni F.Je,anaweza kujiunga na chuo cha taalama gani kwa level ipi ambayo ina soko ?