Kwa Matokeo haya, Anaweza akapata chuo zanzibar? Chuo gani?

Joined
Jan 27, 2021
Posts
31
Reaction score
21
Nina mdogo wangu yupo zanzibar amepata matokeo ya Form four :
HISTORY D
Geography D
KISWAHILI C

Anaweza akapata chuo zanzibar?
Chuo gani?
Course gani anaweza kusoma?
 
Si uweke masomo yote au hayo mengine kapiga mswaki au alikuwa anasoma HGK huko form four
 
Anaeza ata kuja kua rais uyo kama ni wakike mpambanie kaka
 
Hapati mkuu. F zimemharibia
 
Nina mdogo wangu yupo zanzibar amepata matokeo ya Form four :
HISTORY D
Geography D
KISWAHILI C

Anaweza akapata chuo zanzibar?
Chuo gani?
Course gani anaweza kusoma?
Akasomee ualimu wa chekechea ili akimaliza asidolole nyumbani
 
Zanzibar ndio anapata Chuo Elimu ya Madrasa pale Mkunazini Madrasa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…