Kwa matokeo haya anaweza kupata shule?

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
395
Reaction score
357
Nina mdogo wangu amepata matokeo haya
CIV-C, HIST-C, ENG-C, KISW-B, GEO-E, BIOS-E, B/MATH-F= DIV4/34
je anaweza kupata shule ya private kwa mchepuo wa HKL au HGK , AU nitamtafutie nafasi ya ualimu na police kwa haya matokeo. Naombeni wenye uelewa mnifahamishe maana sijui cutting point ni ngapi
 
Kwa matokeo hayo anaweza piga kombi yoyote kati ya hizo ulizo zitaja ukiongeza na hgl ushaur wangu kama pesa ipo mpele a level
 
Ualimu cheti wamebadili vigezo anaweza apate nimeona tangazo NACTE wanasema ''Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itadahili wanafunzi wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu kwa ajili ya Cheti na wenye ufaulu wa alama 26 au 27 (mwaka 2004 hadi 2012) na alama 32 hadi34 (mwaka 2013) " kama amemaliza miaka ya karibuni anaweza akakubaliwa.
 

Amemaliza mwaka Jana 2013 kwenye yale mabadilikow ya wastani ndo maana nikawa cjui utaratibu utakuwaje mwaka huu. Asante kwa mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…