Kwa matokeo haya, anaweza kusoma kozi gani VETA?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Mdogo wangu alipata matokeo haya hapa chini mwaka 2012:
LULUMBA SS-SINGIDA-Ana four ya 27(IV 27)
Physics=D

Chemistry=D

Biology=C

Ukiacha VETA,Anaweza chuo chochote kingine?

Geography=D
Plz
 
Anaweza kusoma certificate ya kilimo au afya, ingawa ushindani ni mkubwa. Mshauri asome certificate ya ufugaji wa kuku Ope:tonguez:n University of Tanzania, itamsaidia kujiajiri.
 
Aende course yoyote ya afya akasome certificate atapokelewa vizuri tu. Jamani acheni mizaha mwenzenu anapoomba msaada, ameamini apa kuna great thinker, sasa wewe unaposema awe house girl sio vizuri wakuu, mtu akileta mada apa ina maana amekuamini
 
asante kaka,ada yake inaweza kuwa sh ngapi?
 
Anaweza kusoma certificate ya kilimo au afya, ingawa ushindani ni mkubwa. Mshauri asome certificate ya ufugaji wa kuku Ope:tonguez:n University of Tanzania, itamsaidia kujiajiri.

ada sh ngapi?
 
kuna kozi nyingi sana anaweza kuchukua za sayansi kwa vile alipata pass za masomo ya sayanc.anaweza kusoma certificate ya architecture kwa vile ana pass ya physics na geography na baadae diploma hadi degree.
 
Kwa matokeo hayo, VETA anasoma coz yyt ile: lab tech, ict, auto electric, mechanics, kwa kifupi ni nyingi tu
 
Mdogo wangu alipata matokeo haya hapa chini mwaka 2012:
LULUMBA SS-SINGIDA-Ana four ya 27(IV 27)
Physics=D

Chemistry=D

Biology=C

Ukiacha VETA,Anaweza chuo chochote kingine?

Geography=D
Plz

Mwambie aombe wdmi,atapata m npo hapa chuo cha maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…