soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 51
- 100
Uongo, akati had 2 ya 19 mvulana anasoma sayansi.kwa mimi ninavyo fahamu ni kuwa kwa wa kiume ili uende kusoma kombi za sayansi ni lazima uwe na division one ya kuanzia pointi 7 mpaka 15 ,ila kwa wa kike ni kuanzia division one ya point 7 mpaka 17
sawaUongo, akati had 2 ya 19 mvulana anasoma sayansi.
Selection si zimetoka mda, na wanafunzi wanaripoti mashuleni sahivi? Vipi yeye hajapata advace au Chuo? Au anasubiri 2nd selection?Toeni ushaur
Anaruhusiwa na vigezo amekidhi, muambie akasome PCMKachaguliwa cbg lakini shule aliyochaguliwa ina pcm je anaruhusiwa kubadilisha akifika shule?