Kwa matokeo haya, naweza kupata chuo gani?

Kwa matokeo haya, naweza kupata chuo gani?

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Nilimaliza mwaka 2009 , Je! Kwa ufaulu huo naweza pata chuo gani degree kozi ya civil, electrical au mechanic engineering?
 
Nilimaliza mwaka 2009 ,je kwa ufaulu huo naweza pata chuo gan degree coz ya civil,electrical au mechan engineering????

kuhusu mkopo umeshajipanga lakini?maana kwa huo mwaka uliomaliza kupata mkopo itakua ngumu labda ukisoma education ndio bodi wanatoa na kwa ushauri wangu weka must mbeya,jaribu huko NIT pia utapata,kama unapenda course za udom pia kule huwez kosa course kama geoinformatics..
 
Mkuu jaribu kuchagua vyuo na kozi ambazo hazina ushindani sana...St joseph, D.I.T na N.I.T waweza pata..!
 
Ndg sant joseph c majanga ada yake duuuu.......
 
So dit na MUST kipi kina ushindan zaid
 
Back
Top Bottom