Kwa matokeo haya naweza kusoma Medicine?

Yeah mkuu, Utasoma TRADITIONAL MEDICINE
 
Yeah mkuu sifa unazo unapata medicine vizuri kabsa ila jaribu kuomba vyuo kama kampala na kairuki kuepusha competition na waliofaulu zaidi yako lakini pia angalia uwezo wa uchumi kama utaweza kukabiliana na ada ya hivyo vyuo kila la kheri mkuu,,,,,
 
Kairuki sasa hivi ada ngapi per year ?
 
Kairuki sasa hivi ada ngapi per year ?
Inabadilika kutokana na mwaka husika wa masomo ila kuanzia 6.4M Mpaka 6.9M kwa mwaka kama huna mkopo wa serikali kwenye ada, ukipata mkopo basi itapunguza makali kidogo
 
Yeah mkuu sifa unazo unapata medicine vizuri kabsa ila jaribu kuomba vyuo kama kampala na kairuki kuepusha competition na waliofaulu zaidi yako lakini pia angalia uwezo wa uchumi kama utaweza kukabiliana na ada ya hivyo vyuo kila la kheri mkuu,,,,,
Anaenda vyuo vya kata halaf aje anifanyie upasuaji...hapana kwakwel.
 
Kwa matokeo haya je naweza kupata medicine hata vyuo vya private ukizingatia pia competition
Physics D
Chemistry C
Biology D
Bam C
Angalia vigezo vya vyuo vyote kwa ujumla kwa kozi za afya
Screenshot_20210712-175621.jpg
 
Sio tu MD bali kozi za Afya sahau, ninachokuambia nina uzoefu nacho na matokeo ya mwaka huu wengi wamepiga vzr Sana physics na bios, huwezi kufurukuta kwenye ligi ya MD, BSN,Lab,pharmacy etc
 
Back
Top Bottom