Kwa matokeo haya naweza kusoma Medicine?

Yeah mkuu, Utasoma TRADITIONAL MEDICINE
 
Yeah mkuu sifa unazo unapata medicine vizuri kabsa ila jaribu kuomba vyuo kama kampala na kairuki kuepusha competition na waliofaulu zaidi yako lakini pia angalia uwezo wa uchumi kama utaweza kukabiliana na ada ya hivyo vyuo kila la kheri mkuu,,,,,
 
Kairuki sasa hivi ada ngapi per year ?
 
Kairuki sasa hivi ada ngapi per year ?
Inabadilika kutokana na mwaka husika wa masomo ila kuanzia 6.4M Mpaka 6.9M kwa mwaka kama huna mkopo wa serikali kwenye ada, ukipata mkopo basi itapunguza makali kidogo
 
Yeah mkuu sifa unazo unapata medicine vizuri kabsa ila jaribu kuomba vyuo kama kampala na kairuki kuepusha competition na waliofaulu zaidi yako lakini pia angalia uwezo wa uchumi kama utaweza kukabiliana na ada ya hivyo vyuo kila la kheri mkuu,,,,,
Anaenda vyuo vya kata halaf aje anifanyie upasuaji...hapana kwakwel.
 
Sio tu MD bali kozi za Afya sahau, ninachokuambia nina uzoefu nacho na matokeo ya mwaka huu wengi wamepiga vzr Sana physics na bios, huwezi kufurukuta kwenye ligi ya MD, BSN,Lab,pharmacy etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…