Kwa matokeo haya ndugu yangu asome Combination gani?

Kwa matokeo haya ndugu yangu asome Combination gani?

Eric Jr

Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
7
Reaction score
12
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D

Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani?

Msaada jamani.
 
Aache ujinga aende diploma akapigane ikikaa vzr aende chuo kikuu

Advance ni equivalent na chuo cha kati, uzuri wa chuo atatoka akiwa na utaalamu kabisa

Dogo aache mizengwe angekuwa anataka Advance angepiga mabanda
 
Selection za vyuo huwa ni za ajabu ajabu, ni bahati sana mwanafunzi kuchaguliw kozi anayotaka, Kuna ndugu yangu alisomea physics akachaguliwa marketing, Ilibidi tumtafutie chuo chenye kozi za computer aliyoipenda, kwa sasa anaenda kumaliza diploma, mwezi wa 10 anaingia degree

Na huyo awahi sana kujidahili kwenye kozi anayotaka, kachagu form 5 kwasababu kachaguliwa kozi ambayo hajaipenda, mwambieni anataka asomee taaluma gani kisha muanze kumfatilia chuo.
 
Aache ujinga aende diploma akapigane ikikaa vzr aende chuo kikuu

Advance ni equivalent na chuo cha kati, uzuri wa chuo atatoka akiwa na utaalamu kabisa

Dogo aache mizengwe angekuwa anataka Advance angepiga mabanda
Kwahiyo atazingua Advance au maana anatamani sana.
 
Ongea naye wanakuwa hawajui anaweza kwenda advance na akaferi vzr tu akaja kuatamia hicho hicho cheti cha ordinary
 
Hivi hili nalo ni tangazo? Mods hawa
 
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D

Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management hataki kwenda Chuo Je, aende Advance kwa Combination gani?

Msaada jamani.
Mwambie aende chuo, atatoka akiwa na ujuzi tayar tofauti na akiensa a level atatoka akiwa bado mwanafunzi na anaweza feli akaja anzia ngazi ya chuo anayo ikimbia sasa. After all matokeo yenyewe yanaonyesha ni mediocre.
 
IMG-20240606-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom