Kwa matokeo haya nichukue kozi gani ?

Kwa matokeo haya nichukue kozi gani ?

Kadabrah

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
54
Reaction score
7
Nimexoma PCM matokeo ni kama hv phz D, chem B, math C ningependa kujua ni koz gan nzur niapply, pia napenda kusoma DIT au UDSM je nitumie technic gan katika kuapply ili npate hivyo vyuo
 
na kwa aliye soma EGM na akapata CCE vipi anaweza pata chuo ?
 
Natanguliza salam zangu kwenu wote wadau wa elimu.
Naombeni ushauri wenu kwa ajili ya kumshauri mdogo wangu ambaye alikuwa anasoma EGM na ufaulu wake ni Ecomomics _C, Geography- B, math - B na Gstudy D. Kwetu yeye ndio wa kwanza kufikia level hiyo nashindwa hata kumshauri maana sina uelewa ktk maswala hayo. tunaomba ushauri akasomee course gani kwa nyakati hizi kulingana na soko la ajira na uhitaji wa dunia ya sasa ili asiingie kichwa kichwa katka fani then ikawa ngumu sana kwake kutoka kimaisha.

ASANTENI KWA USHAURI WA KUJENGA MTAKAO NIPA
 
Chuo kikuu cha Ardhi ni bomba kwa kutoa course zenye upekee Tanzania,kwa huyo anaweza enda kupigaBasc in Building Economics,Basc in Bussiness accounting and finance,na nyingine zenye dili bongo...ila kiukwel aangalia nini moyo unapenda coz mafanikio yanakuja popote ulipoweka nia na mapenzi ya dhati
 
Back
Top Bottom