Points zake zinakubalika kimataifa kwa kujiunga na chuo cha udaktari (hasa kwa kufaulu vizuri chemistry, ndio hasa muhimu zaidi). Tatizo hua linakuja kwenye competition tu kwa hapa tz; (intake capacity ni ndogo). Hata hivyo; kwa alama hizo watu wanasoma/wamesoma MD (japo itategemea na ufaulu wa mwaka husika). Kwasasa vyuo ni vingi na ushindani umepungua kidogo; apply Ifakara, Bugando, KCMC, UDOM hata MUHAS n.k. (Japo sijui siku hizi wana apply vipi)
Siku zote asikatishwe tamaa ya kufikia ndoto zake kirahisi; ilhali vigezo anavyo!
tragedy of the commons