Kwa matokeo haya ya f6, ni wazi muungano hatarini

Umeeleweka ila na nyie mmezidi kulalamika aisee
mlionesha nia mbaya mwanzoni kiasi kwamba ata mkifanya wema inabidi tujiulize, hata ivo kwako wewe mwenye haki ya kulalama ni cdm tu
 

Haha, Umeua muraa! Kanda ya ziwa tunameza ma protein ya kufa mtu, na menyu nzito nzito mbongo zinakuwa active na zinakakamaa, so class ni kuteleza tu!! Ukimeza urojo jiandae kuwa na akili kama minyoo!
 
Pamoja na ku-edit kote huko bado hujaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…