Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wakuu heshima zenu!
naombeni ushauri wenu. ndugu yangu kakwaa division four poinnt 18 akiwa na ESF ya PCB.
swali : je anaweza kusomea diploma ya udaktari? yeye mwenyewe anapenda kusomea muhimbili. je itawezekana kuchaguliwa kwa score hizi ?
je kuna vyuo vingine ambavyo vinaweza kumkubali ?
ndugu yako wapi mkuu sema mimi.bisha!
Ajaribu tu anaweza kupata japo ushindani ni mkubwa sana.aende wizara ya afya atapewa maelekezo yote au afungue website ya wizara.muhimbili wanatoa diploma ya nursing na sio clinical officer