Ndugu wana JF, kwa matokeo ya CSEE 2012 mimi nina C, D, D, D, F, F, F.
Malengo yangu nije kuwa mwanasheria nguli. Nijulisheni chuo kizuri cha sheria kinachoweza kuchukua alama hizi na ada zake. Nitashukuru mkinijulisha jambo hilo.
Tuko busy na escrow na labda tu kwa taarifa ni kwamba kwa matokeo hayo hutapata chuo chochote duniani na ukipata uta disco kwa malimbikizo ya supplimentary