Abercrombie13
Member
- Jul 14, 2018
- 65
- 119
mkeka wanguuu jamaniiiBado mapema sana
Mkuu una bifu nao ninBora wapigwe na ikibidi wapigwe zaidi!
ligi bado mbichi sana! !Huwez kuwa bora wakt wote ndvyo ninavyoweza kusema baada ya man city kutandikwa tena leo. Mech imeisha kwa city kupigwa nyumban na wolves kwa mabao 2 kwa bila. Hakuna tena mpinzani tuwaache tu liver nao wajitolee gundu la zaid ya miaka 30 sasa kwa kubeba kombe lao mapema. Nawasilisha
Taja Timu zilizofungwa goals nyingi mpaka sasaArsenal hii iliyo vulnerable kuruhusu magoli ama ipi?
Timu pekee iliyoruhusu nafasi nyingi za kufungwa kuliko nyingine zote.