kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za dit au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in labaratory technician au computer engineerin.
Division four ya 27.
Civ-d
gography-d
kisw-c
engl-c
math-d
chemistry-d
physics-f
msaada wenu..
plz naomba namba yako ya simu.
pole sana hiyo f---ya physics......ila kwa matokeo yako unaweza kusoma it...peke yake ila kwa kozi hizi nyingine watakuzingua na f....ya phyisics au kama unaona vipi nenda udsm....center of virtual learning piga certificate in computer science wanakuchukua
Usimkatishe tamaa ki hivyo! Kupata div 4 haimaanishi alikuwa hafanyi vizuri kwenye masomo yake kuanzia form1. Inawezekana siku ya paper maswali yalimpiga chenga, kitu ambacho ni kawaida. Wajasiriamali unaowazarau ndiyo wenye mafanikio makubwa kuliko tunaojifanya tuna akili sana wakati hatujavumbua hata kitu kimoja katika maisha yetu!Acha kumpotezea dogo muda,DIT hawatakuchukuwa una F ya physics,fani ya Laboratory unayoomba ni pure PCB,hata kama ungepata utaenda kuteseka physics na hesabu zimesimama kinoma,nimeingia pale na division one nikapiga diploma na digree pale upande wa Electronics,nimemaliza lakini cha moto nimekiona! sitamani mdogo wangu aende pale tena wewe mwenye division four Uta-disco asubuhi na mapema wahi ualimu ushike kimshahara chako uanze na ujasilia mali kubali uwezo wako ni mudogo.
dharau mabaaaya sana na sidhani ka utafika popote kwa namna hii..................SHAME ON U JACKAR.Jaribu vyuo ka muccobs,mzumbe,ifm,iaa,tumain na saut,watakuchukua kwa level ya certificate.
dharau mabaaaya sana na sidhani ka utafika popote kwa namna hii..................SHAME ON U JACKAR.
dit mpango physics and math... Cjaona math unangap..?
kwa wale wenye ufahanu kuhusu qualification za dit au ambao mmesoma hapo au mna ndugu zenu hapo nisaidieni kwa matokeo yangu haya naweza kupata nafasi katika ordinary diplom in labaratory technician au computer engineerin.
Division four ya 27.
Civ-d
gography-d
kisw-c
engl-c
math-d
chemistry-d
physics-f
msaada wenu..
Sorry ndugu yangu nilitaka kumaanisha Pre entry ndugu yangu
kama vip nipe contact..