Hivi naomba tuwekeni wazi kwa hili kwa hali yakawaida mke/mume ni yupi kati yake kwakipindi cha ujana wake hadi anapofikia miaka 50 ankuwa ametumika sana je kunaweza kufahamika idadi yake??je kuna utafiti uliofanyika kuonyesha nimara ngapi mtu anafanya kwa kipindi hicho chote?
Ndo ninacho maanisha ila kutakana na tafiti zilizo wahi kufanyika je hakuna majibu?mbona hata mawe yanajulikana umri wake???Kweli kabisa sijakupata vizuri.... But if you mean what you I am thiking, Kaka Kiiza, know that hivo vitu hua vinakua na maintenance na servicing, thou i don't know for guys... Hivo hapo ni sawa na kuuliza kikombe cha bati kimetumika mara ngapi....
Kweli kabisa sijakupata vizuri.... But if you mean what you I am thiking, Kaka Kiiza, know that hivo vitu hua vinakua na maintenance na servicing, thou i don't know for guys... Hivo hapo ni sawa na kuuliza kikombe cha bati kimetumika mara ngapi....