tony montana
Senior Member
- Oct 16, 2014
- 142
- 38
Kwa wale waliokwepo leo pale karimjee hall kulikuwa kuna habari kuwa TLS, Wangeweka majina yatakao apishwa kwenye website yao.
Kuna mtu aliye confirm hiyo habari kwenye website ya TLS ? , Tujuzane wakuu
Hueleweki, what do you want to say? Unataka kujua majina tu upload hapa? Be specific
Hueleweki, what do you want to say? Unataka kujua majina tu upload hapa? Be specific
Hayo apo!
Shukrani kiongoz