Habari wataalamu?
Ni hv juzi tu kama siku nne zimepita nilipata kipimo cha upt nikaona vimistari viwili kwamba nina ujauzito baada ya kuona nimepitiliza siku zangu kama wiki hivi, sasa cha ajabu baada ya siku mbili naona naanza kuona damu zikitoka kama kawaida kama mtu asiye na ujauzito, siku kama tatu bado damu inatoka ila leo nimenunua tena kipimo nakuta kinasoma mstar mmoja umekolea na ungine hafifu. Nashindwa kuelewa hiyo mimba inatoka au ni hali ya kawaida kwa wajawazito kuingia kwenye siku zao kama kawaida? Na kama inatoka mbona hapaumi popote wakati huwa wanasema mimba inavyotoka unaumwa tumbo, na damu yenyewe inatoka kidogo sana hata pad haijai per day, sasa msaada tafadhali kwa wanaojua vizur mambo haya.
Karibuni mnisaidie nijijue afya yangu.