Kwa mazingira haya mimba imetoka au ipo?

Naboti

Senior Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
189
Reaction score
48
Habari wataalamu?
Ni hv juzi tu kama siku nne zimepita nilipata kipimo cha upt nikaona vimistari viwili kwamba nina ujauzito baada ya kuona nimepitiliza siku zangu kama wiki hivi, sasa cha ajabu baada ya siku mbili naona naanza kuona damu zikitoka kama kawaida kama mtu asiye na ujauzito, siku kama tatu bado damu inatoka ila leo nimenunua tena kipimo nakuta kinasoma mstar mmoja umekolea na ungine hafifu. Nashindwa kuelewa hiyo mimba inatoka au ni hali ya kawaida kwa wajawazito kuingia kwenye siku zao kama kawaida? Na kama inatoka mbona hapaumi popote wakati huwa wanasema mimba inavyotoka unaumwa tumbo, na damu yenyewe inatoka kidogo sana hata pad haijai per day, sasa msaada tafadhali kwa wanaojua vizur mambo haya.
Karibuni mnisaidie nijijue afya yangu.
 
1. Hii imekutokea wewe ama rafiki yako?
2. Sema tu ukweli kwa kilichotokea maana hii inaonesha kama vile mimba imetolewa, kwa msaada mzuri nifate PM.
 
Ishawahi kumtokea mke wangu hiyo ni mimba na damu inaweza ikatoka kwa mwez mmoja au miwil then usiione maana hata mim mke wangu wakat tumeamua kupata mtt ndani ya mwez huo akapata siku zake lakin alipoenda kupima kipimo kikaonesha mistar miwil mmoja hafifu na mwngne sio hafifu so tayar ushanasa hapo.
 
mimi nilitoka damu tena mabonge makubwa kwa miezi 7 nikafanikiwa kuzaa mtoto
 
subiri wiki moja ukapime tena.
 
N kawaida sa nyngn japo una shauliwa uende hosp......mm nlpata damu mpk miez5 na nlkua na mimba....sema utapata tabu sana maana hua damu inakwsha sana mwshon....kngn hurnda mimba imetungwa nje ya kizaz
 
Mwanamke mjamzito anapotokwa na damu hata kama ni kidogo ni dalili hatarishi, unapaswa kwenda hosp kuripoti otherwise kama unatamani itoke, ila kama ni mimba ya malengo nenda hosp mapema.
 
N kawaida sa nyngn japo una shauliwa uende hosp......mm nlpata damu mpk miez5 na nlkua na mimba....sema utapata tabu sana maana hua damu inakwsha sana mwshon....kngn hurnda mimba imetungwa nje ya kizaz
Mimba ilifika mpaka ukajifungua au ikaweje?
 
Kama damu imetoka kidogo kuliko unavyokuwa period bac ujue mimba bdo ipo nina uhakika na hilo ninalokwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…