Kwa mazingira ya barabara za vumbi chuma ipi itafaa kati ya Subaru Forester, Prado, Rav4 na Vanguard!

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
4,364
Reaction score
12,456

Attachments

  • IMG_20210726_111258.jpg
    47.3 KB · Views: 75
Labda ngoja nikupe elimu ya bure fasta.SUV zipo aina nne ambazo ni:

1.Full size SUV:Mfano Prado,VX,V8.

2.Mid size SUV:Mfano Kluger,Vanguard,Harrier,Suzuki Escudo,etc

3.Crossovers SUV:Honda CR-V,RAV4,Subaru forester.

4.Mini SUV:Mfano Cami,Suzuki kei,Suzuki Swift,Terrois kid.

Prado ni full size SUV wakati akina Kluger na Vanguard ni mid size.Kwa hiyo ni makosa kulinganisha SUV ambazo ni full size pamoja na Mid size au crossovers.

Kumbuka katika mtiririko huo hapo juu ubora wa gari unapungua jinsi unavyoshuka chini,yaani SUV za full size ni nzuri zaidi kuliko SUV za mid size.How come sasa unalinganisha Prado ambayo ipo class A(Full size SUV) na Subaru forester ambayo ipo class C(Crossovers)?!Kwa hiyo hapo Prado ndiyo gari bora kuliko zote ulizotaja hapo.
 
Shukran kwa elimu kiongozi.[emoji1545]
 

What you think I rap for, to push a fvck!ng Rav-4?
 
Akishindwa kupata ushauri huu basi tena jamaa atapotea...
Prado ndiyo mpango mzima
 
Prado au Rav 4.... Subaru ni gari ghali sana kuihudumia.. inauzwa bei rahisi ila spea zake bei imechangamka hatari.. maintanance cost ya Subaru haipishani sana na VX V8..
Chaii
 
kwa kuongezea tu japo tyl ushapewa tips muhmu hmna gari inayotengenezwa special kwa kuhimili shida da way gari unaifanyia kaz ktk mazngira magumu ndivyo inataliwa uwe proper ktk fanya maintainance on time nje ya hapo hata izo gari unapewa sifa zake ikiwa out of timed service utajutia uhamuzi wako na ushauri pia but for mid income earner go for rav-4 zile model ya nyuma kdgo achana na zile miss tz utakuwa salama ila kama hela ipo nenda kwa proper SUV
 
Je waweza kutupatia siri moja ya kwanini unapenda zaidi subaru na sio aina zingine za magari?

Nina hakika kuna kitu cha ziada ambacho wengi hatujui kuhusu subaru.

Ahsante
kwa ufupi sanaaa n gari yangu ya 3 na ndipo nikaona nmepata kitu sahihi nilichokuwa nahitaji kutokana na passion angu ya magari

first: Confetabilityand stability ktk high speed

sec: Easy to advance kuanzia muonekano hadi performance wize

third: iko favour sanaa ktk fuel economy kulingana na trip zangu

lastly: for stunt iko poa sanaa

but i like sport car indeed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…