johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Achana na kina msigwa , hujapita lake zone....
The guys are becoming stronger than ever...
CCM ya kupambana nayo siiioni...
Ruzuku ya wabunge 20 maana yake nini? Hao wabunge 20 wamekwambia wana ruzuku?Wale Covid-19 wanapewa posho na vyeo bungeni kama akina nani? Kwann KK haijasikiliza rufaa za Covid- 19 ili wabaki wabunge wa mahakama watakakokimbilia?
Inasemekana ruzuku ya wabunge 20 (Covid-19 na 1 wa kuchaguliwa) inapokelewa na Chadema. Hili ni kweli ama propaganda za Lumumba?
Na kama ndiyo. Hii ndiyo chadema imara unayoiona siku za usoni?
Wapigeni risasi tu, hakuna jinsi nyingine.Mbona kwa Lissu mliweza? Waueni wote ili mufaidi mema ya nchi.Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu.
CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.
Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.
Maendeleo hayana vyama!
Halafu akijiuzulu.Mpaka mbowe ajiuzulu
Nimepita.........
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. ............
Kumbe lichama lilishakufa unasubiri kufufuka au kuzaliwa upya!
Nyumbu hovyo kabisa.
Nyumbu hawana kumbukumbu hizo, wanangojea kuvushwa na Mbowe.....Kumbe imekufa/ ilikufa na bado hamkusema.
Siyo itakufa Bali mnasubiri ifufuke au izaliwe upya! Soma Tena mada unayochangia imesema Nini kuhusu chadema.Kuwaza kuwa CHADEMA itakufa ...!
Ni kulingana na nguvu za asili!