mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,562
- 2,493
Kumbe Chadema bado wapo, me nilishawasahau aisee!!!!!!!!!!Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.
Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe nguruwe wa Lumumba koma kuwaita Chadema nyumbuNyumbu hawana kumbukumbu hizo, wanangojea kuvushwa na Mbowe.....
"Mwamba tuvushe"
Kwani taasisi au mtu tunapoambiwa anazaliwa upya au amezaliwa upya ina maana alikuwa amekufa? Hivi CCM akili zilienda wapi? yaani mwanaCCM tena mtu mzima mwenye uwezo hata wa kufungua JF lakini hajui tofauti ya kuzaliwa na kufufuka. Kwake anayezaliwa alikuwa amekufa. Sasa sijui kwa mwanaCCM anayefufuka anakuwa alikuwaje?Kumbe imekufa/ ilikufa na bado hamkusema.
Ulikuwa unamkumbuka nani aiseee?Kumbe Chadema bado wapo, me nilishawasahau aisee!!!!!!!!!!
Ndio chama kitakachotokomboa na udikteta uliopo tuwaunge mkono.Nimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.
Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.
Maendeleo hayana vyama!
Pomona na dhulma zote,lengo hilo mamba moja limefeli,na kwa uwezo wa Mungu halitawezekana kwa matamanio ya binadamu.Mpaka mbowe ajiuzulu
Chadema haijafa iliyokufa ni CCM inayobebwa na vyombo vya dolaNimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.
Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe bado wapo waponi mjinga tuu anayedhani kwa nyakati za leo unaweza kuwalazimisha watz woote wawe ccm!
wenye mamlaka wanasahau kwamba "ujinga" ambao ndio mtaji mkubwa wa ccm...umepungua nchini!.
Kwani aliekwambia chadema imekufa nani, ? KWA tahalifa yako tangu uchaguzi chadema imeimarika sanaNimepita mkoani Iringa na sasa niko Mbeya, kiukweli Chadema bado wapo tena bado ni " jeuri" zaidi ya vilevile.
Mtazamo wangu hiki chama kinaweza kufufuka au kuzaliwa upya na safari hii kikiwa na wagumu watupu. CCM lazima itumie njia mbadala kukabiliana nao maana mchungaji Msigwa na Sugu bado wanatamalaki na kung'aa kana kwamba bado ni wabunge.
Trump pamoja na kupigwa chini kwenye uchaguzi kuna wananchi bado wanamlilia.
Maendeleo hayana vyama!
Mi ni CUF wewe!Kwani taasisi au mtu tunapoambiwa anazaliwa upya au amezaliwa upya ina maana alikuwa amekufa? Hivi CCM akili zilienda wapi? yaani mwanaCCM tena mtu mzima mwenye uwezo hata wa kufungua JF lakini hajui tofauti ya kuzaliwa na kufufuka. Kwake anayezaliwa alikuwa amekufa. Sasa sijui kwa mwanaCCM anayefufuka anakuwa alikuwaje?
Msigwa anachukua kiti 🤣Halafu akijiuzulu.
CCM huwa haipambani nao bali hulituma dola.Achana na kina msigwa , hujapita lake zone.
The guys are becoming stronger than ever.
CCM ya kupambana nayo siiioni.