mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Haha hahaha hahaha muda bado unaruhusu, hapa nilipo nimetoka kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili ITV. Acha tu
Hahahaha[emoji23]Haha hahaha hahaha muda bado unaruhusu, hapa nilipo nimetoka kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili ITV. Acha tu
Kwa hiyo wewe unaamini uingereza ndio wamejaa wenye akili pekeee? Na ndio role models wako? Basi jua kuwa Hata uingereza mambumbumbu wengi tu tena wenye mawazo na fikra duni kama zako.Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10, alipoondoka ndio walioongoza kuporomoa mambo aliyokuwa akiyajenga!! Mnafiki namba moja yuko mjengoni!! Mama mwepuke huyo ni nyoka!!! Nyoka ni nyoka tu!! Kazi yake ni kuuma tu!! Hafai!!!
Mkuu skm gang hilo janaa!