Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Sina chuki wala husuda yeyote ila Dodoma kujengwa uwanja wa ndege wa kimataifa ni hasara kiuchumi
Mkoa hauna mchango mkubwa kiuchumi kwa nchi yetu japo unapigiwa debe kila kukicha kwa nguvu kubwa
Serikali itafakari upya na tuwekeze kwenye mikoa yenye mchango mkubwa kiuchumi
Tusilazimishe kujenga Dodoma ati kwakuwa ni makao makuu huku faida halionekani.
Soma Pia: Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato (Dodoma) wafikia Asilimia 72
Karibuni tujadili