Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bayern Munich wamefungwa karibia mechi zote kwenye pre season..Ndio usajili gani huu jamani? mbona mnataka kutukosesha kombe msimu huu?
Yanga 0 - 1 Ruvu jkt
Mbona bayern Munich wamefungwa karibia mechi zote kwenye pre season..
Vipi na benchi lao la ufundi lijiuzuru au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga haijawahi kuwa nzuri ni mbeleko tu ya TFFNdio usajili gani huu jamani? mbona mnataka kutukosesha kombe msimu huu?
Yanga 0 - 1 Ruvu jkt
Wap Kabamba?Hakuna maveteran ila kuna mchanganyiko ambao hawajazoeana. Akina Ngoma wako vizuri tatizo striker kama hawatapata mipira mizuri pale kati magoli ni nadra, unaona kama Jana donald anatafuta mipira, atafunga SAA ngapi. Kiungo ya kwenda mbele ni mhimu sana, wings za kupiga cross matata pale golini kama za msuva zinahitajika...ila mwashiuya yupo atabadili upepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka yote[emoji15]
mleta Mada umechangia sh.ngapi kwenye huu usajili? Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira au unapiga kelele tu. Mpira unahitaji uwekezaji, na Kama wewe ni mpenzi kweli wa Yanga, Hilo linakuhusu pia.Ndio usajili gani huu jamani? mbona mnataka kutukosesha kombe msimu huu?
Yanga 0 - 1 Ruvu jkt
mleta Mada umechangia sh.ngapi kwenye huu usajili? Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira au unapiga kelele tu. Mpira unahitaji uwekezaji, na Kama wewe ni mpenzi kweli wa Yanga, Hilo linakuhusu pia.