Kwa mchezo wa jana ( Yanga vs Ruvu) kamati ya usajili ya Yanga inapaswa kujiuzuru

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Ndio usajili gani huu jamani? mbona mnataka kutukosesha kombe msimu huu?

Yanga 0 - 1 Ruvu jkt
 
Hakuna maveteran ila kuna mchanganyiko ambao hawajazoeana. Akina Ngoma wako vizuri tatizo striker kama hawatapata mipira mizuri pale kati magoli ni nadra, unaona kama Jana donald anatafuta mipira, atafunga SAA ngapi. Kiungo ya kwenda mbele ni mhimu sana, wings za kupiga cross matata pale golini kama za msuva zinahitajika...ila mwashiuya yupo atabadili upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wap Kabamba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu hakuna mbereko malinzi na mwesigwa hawapo tena mwaka huu ni mpira Kati tu. Manji mhongaji ndio huyo hayupo. Poleni yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio usajili gani huu jamani? mbona mnataka kutukosesha kombe msimu huu?

Yanga 0 - 1 Ruvu jkt
mleta Mada umechangia sh.ngapi kwenye huu usajili? Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira au unapiga kelele tu. Mpira unahitaji uwekezaji, na Kama wewe ni mpenzi kweli wa Yanga, Hilo linakuhusu pia.
 
mleta Mada umechangia sh.ngapi kwenye huu usajili? Hivi wewe unajua mchezo wa Mpira au unapiga kelele tu. Mpira unahitaji uwekezaji, na Kama wewe ni mpenzi kweli wa Yanga, Hilo linakuhusu pia.

Nilishachangia Mkuu. hata kulipia kadi ya uanachama ni mchango pia
 
It's just a single game.
Mtani wetu kapigwa one week kule Sauzi na wanafanya siri kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…