Submissive
Member
- Sep 19, 2012
- 73
- 21
Nimekuwa nikisoma huku JF kwamba kuna watu walioweza hata kupata wenzi wa maisha yao, nami nimeona ni vema kutumia nafasi hii pia katika mchakato huo.
Mimi ni kijana mwenye miaka 33 amabaye niko kwenye mchakaoto tajwa hapo juu. Ningependa kupata mdada aliye serious; awe na sifa zifuatazo:
1. Mcha Mungu ( mimi ni mkristo hivo awe tayari kwa hilo)
2. Awe model, sina interest ya mdada mnene sana na wala mwenye matiti wanayopenda wazungu (makubwa), niwe wazi tu.
3. Mwenye sura ya kuvutia
4. Si mweusi sana, kwani mimi ni maji ya kunde
5. Mwenye degree au diploma
6. Anayefanya kazi : Maisha sasa ni magumu hivo ni lazima tusaidiane.
7. Mchakaramu na mwenye kujichanganya
8. Mwenye kujiheshimu, sitaki mgawa kwa kijiko
9. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
10. Awe tayari kuwa chini ya mwanaume, kwani ndo kichwa cha familiya.
11Awe tayari kutoa picha na contacts
12. Si mfupi
13. Miaka walau chini ya 29.
Feel free to PM