Wakuu samahani nami nahitaji kujua katika hyo basic na take home inamaana take home kama ulikuwa na mkopo toka kwa bodi ya mikopo hyo 40,2000 hata zile pesa za mkopo zinakuwa zishakatwa kwa mwezi na je makato ni costant kwa watu wawili waliokuwa na mikopo tofauti?