Ata wakihonga Tutatumia KonaStand united wasipohonga marefa hiyo mechi naona wakilishwa mkono!
kichuya hana tofauti na Sunday Juma .mchezaji wa zamani wa simbaUnatamani kweli Kichuya angekuwa anachezea Yanga.... Huyooooo..!!
Male or female?Unatamani kweli Kichuya angekuwa anachezea Yanga.... Huyooooo..!!
Male,kwan vp ?Male or female?
umeambiwa itapangiwa tarehe..Simba na prison lini??