Uchawi huo wanaweza kufanya kwenye game za Ligi Kuu Tanzania Bara.Muwe mnapita milango ya nyuma kama mechi zenu na mnyama.
Hiyo simba mpaka sasa iko kwenye hatua gani tofauti na Yanga? Siyo simba hiyo hiyo iliyocheza na hao Al Hilal kwenye yale mashindano yao, na ikafungwa goli moja kwa 0?Nianze kwa salamu ndugu zangu wanajukwaa. Baada ya salamu, naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada.
Timu yangu ya Yanga inabidi tukubali kujifunza kwa Simba jinsi ya kujiandaa na kucheza mechi za kimataifa hasa za nyumbani. Haya tuliyoyaona leo ni matokeo ya maandalizi mabovu, mfano huwezi kucheza na Mbuni Fc eti kama kipimo cha kucheza na Al hilal.
Kitu kingine, huwezi kufunga goli nyumbani hata kama ni offside, eti unyimwe! Hatuonagi Simba anavyopewa hata penati za ajabu ajabu, kwa hili uongozi umefeli.
Nilishangaa sana Engineer kawapokea Al hilal kama ndugu zenu, hamuonagi Simba wanavyowapokea wageni? Naamini wangekuwa Simba, tena uwanja wa taifa, huu ushuzi usingetokea. Watu wangefungwa hata goli la mkono.
Tujifunze kwa Simba wananchi!
Basi subirini msimu ujao ili mrudi vizuri.Yanga hatuna cha kujifunza kwa timu tunayoifunga ya Simba. labda kuwapulizia dawa za usingizi wapinzani kwenye vyumba vya kupumzikia half time.
Tulipobugi jana Prof Nabi ameona atarekebisha.
Timu haikukaba vizuri na hatukua na bahati
Topolo ktk ubora wako. Hii sio ligi ya ndani kwamba unatafuta point. Hiyo ni knockout bro na 99% timu zinapata magoli mengi wakiwa home ground. Kocha wako anaelewa zaidi umuhimu wa kutoeuhusu goli nyumbani na faida ya kutumia vema uwanja wa nyumbani.Hiyo simba mpaka sasa iko kwenye hatua gani tofauti na Yanga? Siyo simba hiyo hiyo iliyocheza na hao Al Hilal kwenye yale mashindano yao, na ikafungwa goli moja kwa 0?
Sasa timu iliyofungwa na hao Al Hilal ndiyo Yanga ikajifunze!! Na hao Al Hilal wana jipya lipi? Kama ni kwenue mechi ya jana, walitokea nyuma na kusawazisha! Na kama ni kukosa magoli, hata Yanga walikosa magoli mengi tu ya wazi!
Mashabiki wa simba mna umbumbumbu mwingi sana! Na mwezi huu mtapiga sana yale makelele yenu ya kumkataa Matola, Mgunda na CEO Barbara! Ni suala tu la muda.
Achana naye huyo haelewi hata maana ya ligi ya. mabigwa Yani yey baada awaze goli moja aliruhusu pale taifa anaaza kujifariji eti mbona ata sisi tumekosa magoli ya wazi kama wao eti kwani Simba yupo kweny hatua gani tofauti na sisi umeona yalivo majinga yanalazimisha kuwa sawa level moja na Simba wanachukulia vitu KirahisiTopolo ktk ubora wako. Hii sio ligi ya ndani kwamba unatafuta point. Hiyo ni knockout bro na 99% timu zinapata magoli mengi wakiwa home ground. Kocha wako anaelewa zaidi umuhimu wa kutoeuhusu goli nyumbani na faida ya kutumia vema uwanja wa nyumbani.
Endelea kuhesabu unbeaten zako lkn kwenye michuano hii yale matokeo ya jana kama kweli unajua mpira usingeongea utopolo wajo.
Yes simba leo anacheza ushindi wa simba kule ni kutofungwa goli zaidi ya moja au lutoa sare yoyote halafu kazi itamalizwa kwa mkapa. Upo nyonyo?[emoji28]
Hoja kubwa wala siyo kujifunza kwa Simba, ila kujua tatizo liko wapi. Siku nyingi huwa sioni kama Nabi ni kocha sahihi wa kuipa Yanga mafanikio kwa hatua ya Afrika. Yanga anaweza kuendelea kuzifunga timu za ndani ambazo amezizidi kila kitu, ila anapokutana na timu za size yake anafanya vibaya. Kuna vitu ambayo Nabi ameshindwa kuvifanyia kazi, idara ya ulinzi bado ina shida kubwa, karibia kila mechi lazima iruhusu goli, timu kwa ujumla haina speed ya kutosha, wana upigaji wa pasi nyingi ambazo hazina tija. Tatizo kubwa zaidi ni "precision" Yanga wanapata nafasi nyingi za kufunga ila nyingi zinapotea. Yanga hii ina wachezaji wazuri kiasi chake, na wanapaswa kufanya vizuri zaidi ya wanavyofanya kwa sasa.Nianze kwa salamu ndugu zangu wanajukwaa. Baada ya salamu, naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada.
Timu yangu ya Yanga inabidi tukubali kujifunza kwa Simba jinsi ya kujiandaa na kucheza mechi za kimataifa hasa za nyumbani. Haya tuliyoyaona leo ni matokeo ya maandalizi mabovu, mfano huwezi kucheza na Mbuni Fc eti kama kipimo cha kucheza na Al hilal.
Kitu kingine, huwezi kufunga goli nyumbani hata kama ni offside, eti unyimwe! Hatuonagi Simba anavyopewa hata penati za ajabu ajabu, kwa hili uongozi umefeli.
Nilishangaa sana Engineer kawapokea Al hilal kama ndugu zenu, hamuonagi Simba wanavyowapokea wageni? Naamini wangekuwa Simba, tena uwanja wa taifa, huu ushuzi usingetokea. Watu wangefungwa hata goli la mkono.
Tujifunze kwa Simba wananchi!
Washabiki wa Yanga ni majuha sanaHiyo simba mpaka sasa iko kwenye hatua gani tofauti na Yanga? Siyo simba hiyo hiyo iliyocheza na hao Al Hilal kwenye yale mashindano yao, na ikafungwa goli moja kwa 0?
Sasa timu iliyofungwa na hao Al Hilal ndiyo Yanga ikajifunze!! Na hao Al Hilal wana jipya lipi? Kama ni kwenue mechi ya jana, walitokea nyuma na kusawazisha! Na kama ni kukosa magoli, hata Yanga walikosa magoli mengi tu ya wazi!
Mashabiki wa simba mna umbumbumbu mwingi sana! Na mwezi huu mtapiga sana yale makelele yenu ya kumkataa Matola, Mgunda na CEO Barbara! Ni suala tu la muda.
Yanga timu kubwa na sio timu ya mbeleko🥱.Hatujazoea kuchakachua na kimataifa tutapata🤸🤸Nianze kwa salamu ndugu zangu wanajukwaa. Baada ya salamu, naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada.
Timu yangu ya Yanga inabidi tukubali kujifunza kwa Simba jinsi ya kujiandaa na kucheza mechi za kimataifa hasa za nyumbani. Haya tuliyoyaona leo ni matokeo ya maandalizi mabovu, mfano huwezi kucheza na Mbuni Fc eti kama kipimo cha kucheza na Al hilal.
Kitu kingine, huwezi kufunga goli nyumbani hata kama ni offside, eti unyimwe! Hatuonagi Simba anavyopewa hata penati za ajabu ajabu, kwa hili uongozi umefeli.
Nilishangaa sana Engineer kawapokea Al hilal kama ndugu zenu, hamuonagi Simba wanavyowapokea wageni? Naamini wangekuwa Simba, tena uwanja wa taifa, huu ushuzi usingetokea. Watu wangefungwa hata goli la mkono.
Tujifunze kwa Simba wananchi!
Mbinu chakachuzi sio asili ya wananchi 🥱Thread Nzuri Sana Yenye Madini Naamini Watauchukua Huu Ushauri Japo Wamechelewa Sana! Hawana Mbinu
Vipi wale wa mikoa fc🤸Washabiki wa Yanga ni majuha sana
Endeleeni kubweka. Mkitoka kuisema Yanga, mnarudi kwa Matola, Barbara, na sasa ameongezeka Juma Mgunda.Topolo ktk ubora wako. Hii sio ligi ya ndani kwamba unatafuta point. Hiyo ni knockout bro na 99% timu zinapata magoli mengi wakiwa home ground. Kocha wako anaelewa zaidi umuhimu wa kutoeuhusu goli nyumbani na faida ya kutumia vema uwanja wa nyumbani.
Endelea kuhesabu unbeaten zako lkn kwenye michuano hii yale matokeo ya jana kama kweli unajua mpira usingeongea utopolo wajo.
Yes simba leo anacheza ushindi wa simba kule ni kutofungwa goli zaidi ya moja au lutoa sare yoyote halafu kazi itamalizwa kwa mkapa. Upo nyonyo?[emoji28]
Haya majamaa ni mazuzu sana, yameshasahau kuwa bado Yanga ana nafasi nzuri tu ya kushinda ugenini.Endeleeni kubweka. Mkitoka kuisema Yanga, mnarudi kwa Matola, Barbara, na sasa ameongezeka Juma Mgunda.