[h=6]Rafiki zangu ukiona binaadam anajiona imara mbele ujuwe nyuma ni dhaifu,na ukiona anajiona upande wake wa kulia ni imara ujue kushoto kwake ni dhaifu,pia ukiona amejiimarisha kila sehemu jua nidhaifu kila sehemu, kwa kuwa nami ni sehemu ya binaadam namini sikuwa sahihi kila wakati humu JF,hivyo ningeomba samahani kwa wale wote comment zangu ziliwakwaza kwa njia moja au nyingine.
Baada ya kusema hayo;
Nawatakia Kheri ya Mwaka Mpya,Tuimarishe Amani,Mshikamano na Upendo!
Mungu Awabariki saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!.[/h]Happy New Year - 2012!