Kwa Mentality hii, Taifa Stars itafanya vibaya na itaendelea kufanya vibaya.

Kwa Mentality hii, Taifa Stars itafanya vibaya na itaendelea kufanya vibaya.

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Timu ikifanya vizuri kwenye mechi fulani, PONGEZI apewe Dkt Magufuli na Mwenyekiti wa kamati ya hamasg, Makonda. Timu ikifanya vibaya LAWAMA apewe Coach Amunike.

Huu ni unafki wa aina fulani.
Naona Taifa na Serikali in Particular, ndio wa kubeba LAWAMA zaidi. Tumewekeza vipi katika michezo mfano soka kwa vijana wetu? Hakuna.

Mwakyembe ndiye angejiandaa kujiuzulu as morning call kuizindua Serikali yake.

Leo Tunajivunia Samata anacheza Ulaya. Tuambieni Mlisaidiaje akafika huko?
 
Miaka 39 hatujacheza AFCON. .Senegal mara 15..bajeti yao Bilioni 13.. asilimia 100 wachezaji wao wanacheza Ulaya..Muogopeni Mungu
 
Back
Top Bottom