Kwa mfano ingekuwa wewe Rais ungedili vipi na Ufisadi na Madawa ya Kulevya.

Kwa mfano ingekuwa wewe Rais ungedili vipi na Ufisadi na Madawa ya Kulevya.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini.

Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
 
Firing squad 😇🥵
Risasi.10 Kwa njia ya kulala pakia!
Site.100!
Pengo na mende Hadi fuu la kichwa 🔥 🗣️
 
Kwani JPM alideal vp na madawa na rushwa? Maana zilipungua.
 
Kwenye ujasusi wa kiuchumi dhamana iondolewe kwa wanasiasa Bali idara ya wazalendo wale wa kiapo Cha kifo wale!yaani wale wanaojua ukipiga pesa ya jamuhuri unapigwa shaba!!

Maeneo ya kimkakati yawe chini ya idara kiuendeshaji badala ya wateule wa kisiasa kama ilivyo sasa!!

Labda kwa wafanyakazi wa kawaida ndio ajira zitangazwe lakini Kwa maeneo ya kizalendo idara za kijasusi was kiuchumi ndizo zitaingia mzigoni!

Nasema hivyo coz wanasiasa wameturudisha nyuma Sana kwenye uchumi Kwa kufuata tamaa zao!!
 
Back
Top Bottom