Mzee mwenzangu nimekuelewa uzuri kama na wadau watakuwa wameelewa itakuwa jambo bora sana pana maneno machache ila yamebeba fikra zilizo shiba hazihitaji kubebwa.
Mzee mwenzangu nimekuelewa uzuri kama na wadau watakuwa wameelewa itakuwa jambo bora sana pana maneno machache ila yamebeba fikra zilizo shiba hazihitaji kubebwa.
Yaah! kina kirefu sana hiki kwao tuendelee hivi wapo watakao tuelewa.Vijana hawataelewa kwa kuwa wenyewe wameamua kuchagua ujinga na kuustawisha.....bila ya kujali mazao watakayovuna.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukishangiliwa na kichaa rudi nyuma ujiulize kulikonni
Mkuu umepotea sanaJf imejaa wapuuzi siku hizi
Mzee mwenzangu kitambo! kwema lakini huko?
Bwihi..! [emoji16] [emoji16] [emoji1] [emoji1]Ahhaahahhaa, hawa jamaa kweli watakuwa na tatizo, haiwezekani kila mtu awachukie
Wewe ndio utakuwa kichaa...Ukishangiliwa na kichaa rudi nyuma ujiulize kulikonni