Swali lako lina mashiko saana mkuu! Na elimu yangu ya chuo kikuu ila mpaka sasa bado narusha makende kwa mshahara paid on hand finished on mouth..!
Wenzangu ambao hawakusoma waliowahi mtaani, msingi mpenenge wanaendesha tu magari.
Hujachelewa! acha na hiyo kazi uliyoipata kupitia elimu yako kajumuike na wale ambao hawakusoma utaendesha tu gari.
Tungeishi ndugu, kihistoria inasemekana kuwa karne ya 15 ulaya na afrika tuikuwa sawa kwa vielelezo vya maendeleo kama Elimu, teknolojia,kilimo, biashara nk, kitu kinatotuangusha sana waafrika ni umimi kuliko usisi, rushwa na elimu ya kizungukwa mfano tusingesoma elimu hii ya chuo tuka tuliishia labda form four au darasa la saba tukawa tulienda kujifunza udereva tukawa madreva wa mabasi ya mkoani au semitrella kiuchumi tungekuwa wapi..? hebu leta maoni yako
Thubuuutu!!
Isije kuwa kama ile hadithi ya sungura alietaka kula harusi zote mwishowe hakakosa zote kwa mkupuo.
Nitachechemea tu na kakibarua kangu, labda jehova ataninyooshea na Mimi.
Acha uoga wa maisha...Thubuuutu!!
Isije kuwa kama ile hadithi ya sungura alietaka kula harusi zote mwishowe hakakosa zote kwa mkupuo.
Nitachechemea tu na kakibarua kangu, labda jehova ataninyooshea na Mimi.
Hapo ndo hata mimi huwa naona hiki cheti cha digrii bora nifungie bagia tu,,,,waliofeli form 4 nkawaacha street wengi wao wako financially enoughSwali lako lina mashiko saana mkuu! Na elimu yangu ya chuo kikuu ila mpaka sasa bado narusha makende kwa mshahara paid on hand finished on mouth..!
Wenzangu ambao hawakusoma waliowahi mtaani, msingi mpenenge wanaendesha tu magari.
kweliiiiTafuta wazee waliozaliwa miaka ya 1930 watakupa jibu.
Swali lako lina mashiko saana mkuu! Na elimu yangu ya chuo kikuu ila mpaka sasa bado narusha makende kwa mshahara paid on hand finished on mouth..!
Wenzangu ambao hawakusoma waliowahi mtaani, msingi mpenenge wanaendesha tu magari.
Wazee waliozaliwa 1930 ndio hawakusoma?Tafuta wazee waliozaliwa miaka ya 1930 watakupa jibu.