Umelala usinguzi, halafu ukaota mtu anakuuliza,
unahisi 1500,000,000,000/= zitakua zimetumika kufanyia nini?
Mfano Mimi ntamjibu; kwa kuwa nimesikia matumizi yake hayajulikani, basi zitakua zimetumiwa katika shughuli ambazo hazijulikani pia.
Wewe utasema zimetumika kufanya nini kwa kuhisi tu ukiwa ndotoni?