Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Mahakama imeuchambua ushahidihuo na kuona kuna mashahidi ambao ni viongozi wa BAKWATA walitoa ushahidiulioonyesha kuwa kiwanja cha Chang'ombe Markas zamani kilikuwa ni mali ya BAKWATAlakini ikaamua kubadilishana kiwanja hicho na kampuni ya Agritanza Ltd.
Hakimu Nongwa alisema pia ushahidiuliotolewa na upande wa jamhuri unaonyesha BAKWATA iko chini ya waumini wa diniya Kiislamu wote nchini, nakwamba kuna baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu hawakuridhishwa na uamuzi waBAKWATA kuhamishia umiliki wa kiwanja hicho kampuni ya Agritanza Ltd.
KATIBA YA TANZANIA
Uhuru wa mtu
kuamini dini
atakayo Sheria
ya 1984
Na.15 ib.6
Sheria ya 1992
Na.4 ib…
19.-(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani
na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu
kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya
Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza
dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na
shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya
shughuli za mamlaka ya nchi.
Kila palipotajwa neno
"dini" katika ibara hii ifahamike
kwamba maana yake ni pamoja na madhehebu ya dini, na
maneno mengineyo yanayofanana au kuambatana na neno hilo
nayo yatatafsiriwa kwa maana hiyo.
JEE IPI TAASISI YA WAKIRISTO INAOSIMAMIA WAKIRISTO WOTE TANZANIA?
KAMA JAJI ALIESOMEA SHERIA ANAFANYA HAYA. NCHI INAELEKEA WAPI?