johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria
Gen Z ya Kenya imesheheni Wasomi wa Sheria na Teknolojia, sasa unaweza kupima tu hata Viwango vya Mawakili wa Kenya na Tanzania kwa sababu tofauti iko bayana
Wanaodhani Vijana wetu wanaweza kubeba Falsafa za Gen Z nawatoa hofu, waendelee tu na majukumu yao
Ahsanteni
Mlale Unono 😀