Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria
Gen Z ya Kenya imesheheni Wasomi wa Sheria na Teknolojia, sasa unaweza kupima tu hata Viwango vya Mawakili wa Kenya na Tanzania kwa sababu tofauti iko bayana
Wanaodhani Vijana wetu wanaweza kubeba Falsafa za Gen Z nawatoa hofu, waendelee tu na majukumu yao
Ila siyo kwamba ni elimu inatolewa kimkakati, hapana,
Watanzania wengi wako tayari kupigana kisa Kibu Deniss lakini siyo mambo yanayogusa uchumi wa nchi yao, au mambo muhimu kama rasilimali za nchi kutumiwa hovyo nk
Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria...
Una uwezo mdogo wa kufikiri..
Elimu inakupa ufahamu tu.. ktk nyanja mbalimbali..
Kujitambua..kujijua..kujifahamu na kuwa na morali ya kimapinduzi sio kazi ya elimu.
Kwa vile wewe una kaelimu Fulani ka hovyo na uko CCM . Unawatukana watanzania wote ambao eti kwa vile hawana vidato then wafikiri hawana fikra za kimapinduzi.
Yani wewe Ni mpumbavu kabisa.
Imagine an individual like u is in the pannel of advisers .
Sio mfumo wa Elimu, Sema culture ya kujipendekeza, uongo, na unafiki.
Vijana wote waliisha aminishwa ili upate ajira serikalini lazima uwe UVCC, na Lazima ujipendekeze na uwe mbeya mbeya na unafiki ili wakuone unafaa kutumika.