alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable.
Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi na wakongo wanafungasha magunia kwa magunia na kupeleka makwao kwenye stoo sie tunabweteka tu by Dec 2022 tutajuta kwa njaa, naripoti toka maji Moto-Mpimbwe