Alisikika shetani mmoja akisema.safi sana, wacha waisome namba kwanza
Alisikika shetani mmoja akisema.Na apigweeeeeee kama anavyosababisha vita kwa nchi za mashariki ya kati na Africa. Na wao waonje utamu kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa watu weusi ambao wanaugua Corona wanabaguliwa sana wakati ugonjwa hauchagui rangiHuyu (Corona) ndio adui yetu sote hapa duniani kwa wakati huu. Lazima sote tuchukue tahadhari muhimu za kiafya ili kumshinda.
Na apigweeeeeee kama anavyosababisha vita kwa nchi za mashariki ya kati na Africa. Na wao waonje utamu kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
taifa linaloongoza dunia.
Acha liongoze pia kwenye corona.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
unajua watu weusi huko wenye magonjw mengine kama kisukari na shinikizo wnondoka kwa wingi?safi sana, wacha waisome namba kwanza