Kwa Mh. Trump hali yazidi kuwa tete. Yaongoza kwa vifo

"Mwenzako akinyolewa,wewe zako tia maji" ndio hii..ila hata kama amekuudhi vipi jirani yako akipata matatizo haupaswi kushangilia.leo kwake kesho kwako.
Mungu akubariki kwa busara hii
 

Attachments

  • images (13).jpeg
    19.9 KB · Views: 10
 
Wahuni baada ya ligi mbalimbali kusimamishwa sasa hivi wana beti kwenye idadi ya vifo vya korona, tena wanakwambia kabisa kuna team Spain [emoji633], Italy [emoji634] na Usa [emoji631].
Hivi tunaobet kumbe tunaitwa wahuni? Haya bhana, ila mimi 18,000/= nilizotengeneza leo kiganjani zinanitosha na bado kazi nyingine zinaendelea:

 
Vifo vya COVID-19 havitafika hata nusu ya vifo vya malaria kwa mwaka huu.

Mwaka 2000 pekee malaria ilikadiriwa kuua watu 985,000 duniani na takwimu za 2018 imeua 407,000 huku % kubwa wakiwa wamatumbi chini ya jangwa la Sahara.
 
Maisha yana vituko vyake.
Sote ni Binadamu kama kwako kuna dhahabu nyingi ardhini ikakufanya kuwa tajiri usinidharau mimi kwangu kuna jangwa na ukame maana itakuja siku jangwa na ukame patakuwa salama kuishi.

Wakati Rais wa Marekani Donald Trump anajenga uzio kutenganisha USA na Mexico, alikuwa ana maana ya kuwazuia wamexco wasiingie Marekani.
Jambo usilolitegemea linaweza kutoka wakati wowote. Leo hii serikali ya Mexico inafanya jitihada sana kuwazuia wamarekani wasiingie Mexico.
Wamarekani wanavunja uzio ili waingie Mexico kuogopa corona. Kuna kundi kubwa la raia wa Marekani wanakimbia nchi yao.
Maambukizi ya corona Mexico yako chini ya 500
...kuna somo hapa
*Usimuwekee mtu vikwazo au vizuizi, au kumdharau mtu, huwezi jua Kesho yako, pengine anaweza kuwa msaada kwako*

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bravo. Somo zuri sana! Kikubwa upendo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…